Ulivyoandika na pointi zako uchwara umejiona unaakili kumbe hunalolote ndugu twaweza sema akili zako zipo kwenye msambwangaa...hivi kipindi hatuna ndege mlikua mnalipwa mamilion huko ofisini,
je mlikua mmeajiriwa watu wote kiasi kwamba wengne wamefukuzwa ili ndege zinunuliwe ,,kweli ukiwa na...
Watu watabeza huu uzi wakati unamaana kubwa siku kikinua wote wanaobeza wanatafuta kwa kujificha ,yani yenye kubeza wengi ni mashoga wababe wa maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mkuu unajidanganya sana ,nazani hata demu ukimtongoza utatumia akili na maneno mazuri ya kumshawishi akuamini sasa nyie chadema kwa lowasa na sumaye ,wanawafanya kama mademu kuwatongoza na kuamini na kuwapiga mzigo muda utazidi kusema
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.