Recent content by T-Bagwell

  1. T-Bagwell

    Uwakala wa malipo katika hospitali/vituo vya afya

    Kivipi Mkuu, naomba kueleweshwa hapa.
  2. T-Bagwell

    Uwakala wa malipo katika hospitali/vituo vya afya

    Habari wana JF Kuna hizi tenda za kuomba uwakala wa kukusanya fedha za huduma mbali mbali katika vituo vya afya na hospitali za serikali. Kwa anayefahamu/mwenye uzoefu na hiyo kazi naomba anifahamishe kwa uchache baadhi ya mambo… 1. Namna ya kuomba na kupata hizi tenda. 2. Vigezo...
  3. T-Bagwell

    Je mlalamikaji yupo sahihi??

    Mimi ni jirani na wote wananipigia kelele
  4. T-Bagwell

    Je mlalamikaji yupo sahihi??

    Ukiangalia kwa makini ni kama kanisa ndio lilitangulia kwasababu hata majani yameshaota pembeni tofauti na msikiti ambao bado unaonekana ni mpya.
  5. T-Bagwell

    Je mlalamikaji yupo sahihi??

    Habari za muda huu wana JF?? Nimekutana na video moja mitandaoni iliyorekodiwa na muumini wa dini ya Kiislam akilalamikia Kanisa lililopo karibu na Msikiti alipokua anakwenda kufanya ibada na kukuta Redio ikiwa inaimba kwaya Kanisani hapo pasipo kuwa na mtu ndani. Muumini huyo amelalamikia na...
  6. T-Bagwell

    Niliwaambia wazazi wasubiri niweke mambo yakae sawa wakanigomea, sasa naona yakitimia

    Ukiwaambia mila na desturi zao hata hizo ndoa za makanisani/misikitini hazikuwepo kwenye mila na desturi wanakua wakali.
  7. T-Bagwell

    Niliwaambia wazazi wasubiri niweke mambo yakae sawa wakanigomea, sasa naona yakitimia

    Niende siku washenga walipotumwa?? Sidhani kama ni appropriate kwa tamaduni za kitz.
  8. T-Bagwell

    Niliwaambia wazazi wasubiri niweke mambo yakae sawa wakanigomea, sasa naona yakitimia

    Ndio wapange tarehe za kunikomoa?? What if nikashindwa kisha binti yao akazalia kwao??
  9. T-Bagwell

    Niliwaambia wazazi wasubiri niweke mambo yakae sawa wakanigomea, sasa naona yakitimia

    🤣 uchumi ni hohaheha ndio maana najaribu kuupambania sana uchumi wangu nisije kuaibika hapo mwezi wa sita. Shida ninayoiona hapa ni kuendekeza baadhi ya mila ambazo mwisho wa siku zina komoq kwa upande wa muoaji na muoaji akiingia mitini hasara inakua kwao.
  10. T-Bagwell

    Niliwaambia wazazi wasubiri niweke mambo yakae sawa wakanigomea, sasa naona yakitimia

    Faida yake ipo wapi kama nikishindwa kufuata utaratibu wanaoutaka kisha akapata mtoto kabla hajaolewa??
Back
Top Bottom