Recent content by symphorianicky

  1. S

    JamiiForums Tanzania kwa waliokosa bumu badaa ya kusaini UDOM

    Wazo zuri ukitaka msosi fika ujasi wanawake wsnatuamini sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Vp unaweza soma nursing bila kuwa umesoma physics
  3. S

    JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Asanteni kwa ushauri hivi kutokujiusisha na mapenzi kwa muda mrefu nako kunaadhari kubwa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Mi tatizo langu nalia mapema kila bao dk tatu tu ni mekwisha nimeamua kuchukua tangawizi na vitunguu swaumu natwanga pia nachemsha ikipoa nakunywa leo siku ya pilitnafanya hivyo naomba ushauri juu ya Hilo
  5. S

    JamiiForums Tanzania afya hizi hapa certificate and diploma

    Afya wametoa majina ya waliochaguliwa ila unapaswa ku confirm mwisho tr 16 mwezi huu ingia kwenye profile yako kwa chini utaona chuo ulichochaguliwa then you have to confirm
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Post za afya zimetoka angalia kwenye profile yako kwa chini utaona chuo ulichochaguliwa then you have to confirm
  7. S

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Asante kwa ushauri
  8. S

    JamiiForums Tanzania Special program UDOM

    Wataweka taarifa kwenye Web ya udom according to nacte kuwa unafatilia Web ya udom
  9. S

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya bachelor of art in special needs na bachelor of art in early childhood education
  10. S

    JamiiForums Tanzania Special program UDOM

    aisee bro nimedownload form ila iyo program siion
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Nimejaza form ya mkopo na kuprint nakuja kugundua baadae nakuta nimejaza wilaya tofauti na niliyozaliwa na iliyokwenye hati ya kuzaliwa kwa ss naishi wilaya nyngne tofauti na nyumban kufuta na jaribu inashindikana
  12. S

    JamiiForums Tanzania Upendo ulikuwepo?

    nilisahau kumtaarifu ila mi nilkuwa na mpenda ila mi kanishangaza mda mrefu 2mependana lakn kaj2 kadogo 2 aka ndo kamemfanya anikimbie nimemwambia aongee nae akakataa nam siwez mbembeleza nikaamua nimuache
  13. S

    JamiiForums Tanzania Upendo ulikuwepo?

    Kaja ndugu yangu wa kike kunitembelea sehemu ya kazi amekaa takriban wiki nzima demu wangu skumtarifu sa kapata taarifa kutoka kwa marafki zake kuwa nina manz ndan alivyonipigia nkamueleza ila hajanielewa kaamua kusema mi nawe 2meishia apa iv kwel uyu alikuwa ananipenda ama?
Back
Top Bottom