Recent content by sylvesterwille

  1. sylvesterwille

    Ulikuwa na umri gani ulipopata Tsh. milioni moja?

    Nikwel mkuu, sabab kuna broo wangu flan hivi , hajawah kukamata hata ile laki 5 yakwake cash. Lakini ana mji wake na familia, maisha yanaendelea km kawa [emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. sylvesterwille

    Ulikuwa na umri gani ulipopata Tsh. milioni moja?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mpk sasa kila ukivuta kumbukumbu hukumbuki Sent using Jamii Forums mobile app
  3. sylvesterwille

    Ulikuwa na umri gani ulipopata Tsh. milioni moja?

    WALLAH SIJAWAHI KUKAMATA MILION MOJA HIVI YAKWANGU WALA YA KUSHIKA YA MTU, YANI NIMEKAMATA SAAANA LAKI 4 CASH. MKONONI HIVI, YAKWANGU KABISA ,,, ILA MILION BADO KABISA [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. sylvesterwille

    Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

    Kama nataka kukuelewa vile, Manake nahisi kila ugonjwa unaomkuta mtu, inategemea na Kinga za mwili wake zina uwezo gani wa kupamban na Magonjwa, Wengine wanaumwa Kichwa tu, au Marelia tu inamwondoa Duniani, Na hakunaga Ugonjwa wenye dawa hapa Duniani, isipokuwa magonjwa yote yana kipunguza...
  5. sylvesterwille

    CORONA: Mambo ya kuzingatia wakati wa kununua na matumizi ya hand sanitizers (Viua vijidudu)

    Na jee kama hauna hy Sanitizer siju. Ukinawa mikono na Sabuni haisaidiii!??? sabab si wote wenye uwezo wa kuimiliki au kuwa nayo hy Kemikal (Sanitizer) Sent using Jamii Forums mobile app
  6. sylvesterwille

    Dada aliyekutwa na Corona Tanzania siyo bure

    amelala yuko tungi, au yuko Uswiss Sent using Jamii Forums mobile app
  7. sylvesterwille

    The Coronavirus incident has been repeated on planet earth from Mars

    Nimesoma mpk macho yanatoa machoz, afu sijaelewa nilipoanzia nimeanzaje! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. sylvesterwille

    Badala Ya Kudhibiti Uingiaji Wa Corona Nchini Tunapaniki

    ibanezafrica, Hayo unayoyafikiria nadhani yanafanywa kabisa, isipokuwa wameanza tayari Goma limetua ndani.!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. sylvesterwille

    Hali ya mapato ya serikali yashuka, serikali haina pesa wananchi tujifunge mikanda

    KWA SIS WA HALI YA CHINI TUNAOPATA LEO TUNAKOSA SIKU 5. JEE TUTAWEZAJE KUTUNZA PESA.? KM SI KUMALIZA MTAJI WA BIASHARA KWA KUNYOFOA ZA KULA HAPO HAPO.!? Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
  10. sylvesterwille

    TEMEKE, DAR: Mjane aangua kilio hospitali baada ya kujifungua mapacha 4, asema hawezi kuwalea

    Heeee kwakwel ni Neema zake Mungu. na Mungu ndio mwenye kujuwa Hao watoto watakuaje
  11. sylvesterwille

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Mksyuuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] mchawa huyo sio Bure. Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
  12. sylvesterwille

    Nini tafsiri ya kushangiliwa kwa Lowassa msibani Arusha?

    Maan yk atoke Magukhan. Aingie huy jamaa
Back
Top Bottom