Recent content by sylvesterkilosa

  1. S

    CHADEMA kulinda kura za Arusha kwa kutumia Makamanda toka Mbeya, Tarime,KLM n.k

    Ni vizuri watu wa huko wanauzoefu wa kutosha na hawanunuliki.
  2. S

    Siipendi CHADEMA

    Yani wewe huna akili kabisa unachojaribu kutuambia ni kuwa chadema imekosea kuwaelimisha watanzania wengi ambao haki,rasilimali zao zimekuwa zikiporwa pamoja na elimu ya uraia ambayo wamekuwa wakiipata kupitia chadema na hayo yote unayoyasema ikiwa unamini hivyo basi amini kuwa serikali ya ccm...
  3. S

    Ngozi nyeusi tumeumbwa kutumikia ngozi nyeupe vizazi na vizazi

    Hatukuumbwa hivyo isipokuwa tumerithi dhambi ya utumwa.
  4. S

    CCM wangelihitaji jimbo la Iringa Mjini wangempa wadhifa Mwakalebela

    Jimbo wanalitaka sana ila tambua hiko chama kwa sasa kinavuja sana na hakijitambui kwa sababu ya kiburi cha kitoto.
  5. S

    Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

    ccm imeshajiua yenyewe kinachonishangaza ni kwa nini watanzania tunashindwa kuandaa mazishi makubwa ya kihistoria kuizika.
Back
Top Bottom