Recent content by Sychbh

  1. Sychbh

    Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

    habari wadau.. Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I
  2. Sychbh

    shure wireless microphones

    habari wakuu. Natafuta shure wireless microphone, ni duka naweza kupata hapa Daresalama. nimepita maduka kadhaa bila mafanikio.
  3. Sychbh

    tuliopangiwa kazi udism a bado hatujapigiwa sim

    Duh, sawa mkuu. Naona hujawai kukosea kitu maishani wewe! Good for you.
  4. Sychbh

    tuliopangiwa kazi udism a bado hatujapigiwa sim

    Asante kwa kushiriki. Ukitafuta kosa kwenye kila thread unayosoma, you will eventually find one.
  5. Sychbh

    tuliopangiwa kazi udism a bado hatujapigiwa sim

    itachukua muda gani kukamilika?
  6. Sychbh

    tuliopangiwa kazi udism a bado hatujapigiwa sim

    habari wadau, kwa wale tuliopangiwa kazi "the university of Dar es salaam" lakini tunasubiri kupigiwa sim, tupeane updates hapa wakianza kupiga sim maana binafsi nimesha postpone chuo nikisubiri kuitwa kazini lakini bado sijapokea sim yao.
  7. Sychbh

    My people, I am real scare of Chinese

    Upo sahihi kua na wasiwasi mkuu. Nimefanya kazi na wachina, i know them. Sio watu wema kabisa. Humu jf kuna jamii ya wasenge_nyaji kazi yao ni kutafuta makosa kwenye post za watu. Akili fupi ni tatizo sana katika jamii yetu Tanzania. Tukiendelea hivi soon tutafungwa minyororo shingoni na still...
  8. Sychbh

    Tanzania Red Cross: Ajira 100 kila wilaya - ni taarifa ya uongo, ipuuzeni!

    Acha kukurupuka. Soma uelewe point yangu. Tahadhari sio solution, wingu la ukosefu wa ajira limetanda. Mtu akiona tangazo kwenye ukurasa wa waziri ummy mwalim ni rahisi mno kuliamini ilo tangazo na kutuma pesa.
  9. Sychbh

    Natafuta kazi telecom eng

    Habari wadau. Natafuta kazi ya kuniingizia kipato. Nina advanced diploma in electronics and telecommunications engineering. Kazi zote za electonics na electrical naweza kufanya. Ukinipa kazi za computer networking nipo vizuri mno na telecom pia. Kama una ofisi yako ya computer related issues...
  10. Sychbh

    Tanzania Red Cross: Ajira 100 kila wilaya - ni taarifa ya uongo, ipuuzeni!

    Mda mwengine mtu unaweza kudhani hii ni miradi yao au wahusika kadhaa wa red cross wanatumia mwanya kujipatia fedha. Ili tangazo feki limetoka kitambo sana, na watu wengi wamepigwa. Lkn wanakuja kutoa tahadhari 02 october! Na bado still ile number inaendelea kupokea pesa za watu as if...
  11. Sychbh

    manunuzi ya laptop online

    ni nzuri, inategemea na model na matumizi yako.
  12. Sychbh

    manunuzi ya laptop online

    yah, ilikua used. najua kwa pc mpya 7th generation inabidi mtu ujipange vizuri. shukran kwa huu uzi, nimefahamu kitu
  13. Sychbh

    manunuzi ya laptop online

    wakuu nimejaribu ku search lakini sijaona uzi unaozungumzia hii issue ya kununua laptops na sim online. nataka kununua laptop moja lenovo x270, soko la bongo hapa kariakoo nilziona duka moja pale mtaa wa kongo ilikua inauzwa 370k lakini sikua na pesa. sasa nikiicheki ebay, minimum price ni...
Back
Top Bottom