Mwanzo nilikuwa naona kama Zanzibar wanatunyonya sana Tanganyika ila kwa miaka miwili sasa tangu nimekuja kuishi hapa kweli nimegundua wazanzibar wanamaisha magum sana.
Bidhaa zote wanazotegemea toka Tanganyika bei zake ziko juu sana kama mazao ya chakula
Chukulia mfano hizi bidhaa bei ya...
Toka utoto tunaona kuna watu wanaibiwa mtu anatangaza aloiba ajisalimishe anapokosekana mashekh wanakaa na kusoma kisomo aloiba yanampata mabaya
Afu ww unapinga kuwa tunauchafua Uislam tunauchafua vip sasa ama ww ndo unataka kuuchafua kwa kuthibitisha kuwa hicho wanachofanya ni ushirikina ...
Mkuu tiba sio ushirikina, kuna watu wamejaaliwa na Mwenyezi Mungu kutibu hivyo wanachokifanya si ushirikina, wala sijausemea vibaya uislamu mkuu.
Nilichogundua watu kama nyie ndio uwa mnasababisha kutokea kwa machafuko maana unaingiza mambo ambayo hayapo kabisa.
Tena wachungaji ndo hakuna kabisa yani waongo kupita kiasi, sitak hata kuwasikia.
Nimeomba kwa Mungu nifanye nn ndo kanifunulia neno lake nitafute msaada kwa hawa watu maana ninachotafuta ni ndugu yangu kupona sio dhambi.
Ingekuwa kuombewa tu unapona basi kusingewekwa mahospital ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.