Amina kuzika au kusafirisha ila ukweli huyo dada hakupeeeeeeeeendina hafirahii kuwa na wewe km anavofurahia kuwa na jamaaa ndio maana aliona Bora akukose wewe awe na jamaaa........
Una kichaaa wewe,hao waganga wenyewe ndio hawataki utajiri??? Si wangeanza kijitajirisha wao kwanza??? Pambana hizo Hela unazopeleka Kwa waganga geuza zowe mtaji,halafu huna nyota ya utajiri yaaan wewe itakufa na Hela za mboga tuuuuu
Miaka kumi na nne Toka nimjue mwamba aiseee ....katika vitu nainjoi ni hii ndoa,huyu kaka libarikiwe tumbo lililokuzaa,ananihurumiela na kunitunza sana jaman,Yuko tayari akose Mimi nipate,
Huyo kaka hakupendi ila kagundua huna msimamo,hamna kazi ambayo hawaruhusu kuoa zamani ilikuwa jeshi
lkn saizi wanaruhusu,labda km umeamua kuwa single mother ila km kweli anakupenda mwambie akuoe kwanza
Mme wangu alishatakaga kunikila Togo,hajawahi niomba msamaha ila sijawahi msamehe,nawahirumia watt wangu wana baba mfiraji,nawaombea watt wangu wa kiume kisasi Cha baba yao kuwala watu tigo kisiwarudie,namuheshim huuu baba ila nikikumbuka namdharau na kimchikia Kwa wakati mmoja,napata jasira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.