Recent content by Syabhumi

  1. S

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba kama Kuna mtu ana wimbo wa Tazama ramani utaona nchi nzuri. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  2. S

    Airtel sisi Watumiaji wenu wa Uni Voucher tumewakoseeni nini hadi mnatutesa hivi?

    Jaribu kuangalia salio kwa kupitia *149*81# then bonyeza namba tano kucheki balance japo mm huwa nanua kifurushi cha uni kupitia airtel money
  3. S

    Hospitali ya Kairuki, hawa vijana ni madaktari au majaribio?

    Kiukweli Kairuki wana matatizo nmewahi enda pale kutubiwa ilikua jumatano nikakutana na daktari kijana akaniandikia vipimo ambavyo haviendani na kile nilichomwelekeza ikaja kwenye majibu ya vipimo nikaambiwa niende saa nane ya siku hiyo nilivyorudi saa nane wakanimbia majibu ni mpaka jumanne...
Back
Top Bottom