Recent content by sweya lugendo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa upepo ulivyo Upendo Peneza atawashinda vijana hawa

    Nimegundua vijana wengi wanaogombea bavicha ni watu wa kukaa makao makuu ya chama,hivi sasa wanasubiri kubebwa na wakubwa na watu maarufu ndani ya chama.Kwa mtindo huu vijana nyie mtapigwa asubuhi.Wengi mko facebook na mimimnadanganyana huko wakati mwenzenu Upendo yuko field anazunguka na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania BAVICHA ninayoiota usiku na mchana

    Binafsi nakupongeza sana sana,naziombea ndoto zako zifanikiwe
  3. S

    JamiiForums Tanzania BAVICHA ninayoiota usiku na mchana

    Acha chuki zako za kijinga,kama una hoja ya msingi njoo nayo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    The rockySpider,well well well
  5. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Uko single mdada?you really impress me
  6. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Elezea kidogo kiongozi unaweza kututia moyo na wengine hapa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Struggle...is the appropriate for the word war,whoever is unwilling to fight has no right to dream of victory
  8. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Shida ya watu wa aina yako ni wivu,mwenzako kaandika Mawazo yake kwa jina lake halisi...kama kweli unamfahamu njoo kwa jina lako tukuhoji vinginevyo wewe ni mbulu kenge Wa madoa doa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Natamani madada wote wangekuwa hivyo.. wengi wanapenda ready made stuff hawataki kusota hata kidogo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Umenena kweli tupu mkuu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa baada ya John Heche

    Hakuna sifa zingine zinazotakiwa mbali na mtu kuwa mwana chadema,habari ya uha,usukuma,udini,ukanda au makundi ni upuuzi.Nani ndani ya chadema asiyejua uchapaji kazi wa Pendo?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa baada ya John Heche

    Niliwhi kumtaja binti huyu mimi mwenyewe kama ideal candidate wa nafasi ya Mwenyekiti baraza la vijana la chadema...ukiachilia majungu na visavisa vingine kila mtu anapaswa kumuunga mkono.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

    No worry kiongozi because eventually everything shall be put to light, nothing hidden from light will go through
  14. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

    Well said mkuu
Back
Top Bottom