Recent content by sweetbut kanana

  1. S

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    mtake labda kuna kitu cha ziada anakufanya wewe binafsi
  2. S

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    kwa siku za karibuni nilikuwa sijasikia mtu wa namna hii.Ufisadi tunaunganisha na imani za kidini? kweli kuliko ufilisike dhamira afadhali ufilisike kwa kukosa hela!
  3. S

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Al Capone muitaliano aliyeishi huko marekani kipindi kilichopita alipendwa sana na watu wa mtaani kwake, kwani aliweza kulipia ada za watoto maskini shuleni, akalipa ada na bill za maji na umeme lakini alikuwa ni kiongozi wa kundi la mafia anayekumbukwa hadi leo. Hivyo kutokana na tulivyo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    sasa hawa wanaomtetea Lowassa watuambie endapo wanasoma na kuelewa kimakonde
  5. S

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    unasemaje na huyu aliyesema mitambo kutembelewa na Obama siyo ya wizi unamweka wapi?
  6. S

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    mchakamchaka upi na uchapakazi upi toa mifano kama ya kweli tutakubali anachojua ni visasi tu na kupayuka. Nimekuwepo kwenye serikali hii kuanzia 1995 hatujapata kiongozi tuna waganganjaa tu!
  7. S

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Bwaa kubwa sema kitu ambacho kimeongelewa hapo juu sisi hatujaambiwa nani UKAWA nani siyo! kama unajua kusoma na kuelewa kilichongelewa hapo juu ni intergrity ya mtu na wala siyo nani ni ndugu yake nani! wala kwa taarifa yako uwezi kuwa UKAWA hata sekunde moja angalia ulivyoanza!, Umetumwa...
  8. S

    wote wa hovyo hakuna lowassa afadhali wala anayeondoka kwenye ka[pu lao sidhani kama una kumuita afadhali:ban: i will be happy to see ccm in trash
  9. S

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    huyu mtu hafai kabisa hata team inayomfuata kumtetea utadhani wameokotwa kutoka majalalani
  10. S

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    kama unachosema ni kweli basi Lowassa siyo mtiifu ni mjinga kwani mtu mjinga akakwambia kitu cha kijinga nawe ukafuata wewe ni mjinga kuliko aliyetangulia. Kwa hiyo kutokana na ujinga huo tunaweza sema kuwa wote ni wezi na siyo jambo la msingi kutembelewa na Obama kunahararisha jinsi mitambo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Bwaa kubwa sema kitu ambacho kimeongelewa hapo juu sisi hatujaambiwa nani UKAWA nani siyo! kama unajua kusoma na kuelewa kilichongelewa hapo juu ni intergrity ya mtu na wala siyo nani ni ndugu yake nani! wala kwa taarifa yako uwezi kuwa UKAWA hata sekunde moja angalia ulivyoanza!, Umetumwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

    kama walivyo wengine kwenye chama chao sijui wanawatoa wapi na hapa amesema sio kosa kupata msamahaha wa kodi hivi msamaha anapata mtu yeyote alimradi kaomba msamamaha.Yeye anaangukia wapi ana au anadhani hatujui utaratibu wa kupata misamaha au anaendesha charity organization? anapata msamaha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya

    mkuu wa kaya na henchmen wake hawawezi mfuta kazi kwani yeye ndiye kawaumba
  14. S

    JamiiForums Tanzania Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    ni mwanachama ambaye kamtaja mwizi namba 1 kwenye chama ingawa naye nadhani ni mwizi tu kwani kama baba zake wezi yeye anakuwaje msafi
  15. S

    JamiiForums Tanzania Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    sasa wezi mmeanza kusemana hapo safi
Back
Top Bottom