Recent content by Sweet Apple

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanijeruhi mara ya pili, nimfanyeje?

    kivipi Bavaria?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanijeruhi mara ya pili, nimfanyeje?

    asante sana. Ni kweli, hili linawezekana, japo na lenyewe lina changamoto zake. nadhani ni suala la muda.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanijeruhi mara ya pili, nimfanyeje?

    Usijali, hili si jina langu bali ni utambulisho wangu tu ndani ya jf
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanijeruhi mara ya pili, nimfanyeje?

    asante kwa ushauri wako NABALI
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanijeruhi mara ya pili, nimfanyeje?

    Tulikuwa, na bado mimi niko Orthodox church.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanijeruhi mara ya pili, nimfanyeje?

    Ni mwaka wa 13 sasa tukiwa kwenye ndoa. Nimeajiriwa, nafanyia kazi vijijini huku mke wangu na watoto wanaishi mjini ambapo yeye anajishughulisha na biashara ndogondogo. Kwa sababu ya umbali na gharama, mimi hurudi nyumbani weekends au mara 2 kwa mwezi. Kinachoniumiza ni kwamba, mke wangu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini ukimfumania mkeo/mumeo akichepuka?

    Mi ntawaruhusu waendelee kungonoka, wakimaliza wanitaarifu. Baada ya kumaliza tutaendelea kuishi kwa kuogopana kwa muda mpaka ama tuachane au nimsamehe.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Smartphone ya ukweli, nina Laki 2

    Nilitamani kukushauri ila sijawahi fika Arusha wala Moshi.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa anayefahamu sifa za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu

    Atachaguliwa endapo kwenye combination yake atakuwa na ufaulu usiochini ya DDD. Je, yeye ana nini?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni nitoke hapa tarime nihamie bunda kikazi!

    Mimi mwalimu wa sekondari. Nimeajiriwa mwaka huu wilayani TARIME. Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye ili nihamie wilayani BUNDA. Naombeni msaada jamani...!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa wana mmu

    pole sana mama ngu. historia itamhukumu. wewe vumilia tu!
Back
Top Bottom