Recent content by swedi muzungu

  1. S

    UCHUNGUZI: Hospitali za DSM hazitoi majibu sahihi vipimo vya UTI

    changamoto hizi ni kubwa sana katika zahanati hasa binafsi wamekaa kibiashara zaidi kuliko kukupa uhalisia wa afya ya vipimo vyako.....watu wengi wanapewa maradhi ya UTI au maralia bila hata kuwa nayo
  2. S

    SoC02 Namna ya kujikwamua kiuchumi kwa mtaji wa milioni 5

    UTANGULIZI kwa mtaji wa milioni 5 unaweza kujikwa mua kichumi kwa kuanzisha mradi wa uuzaji wa vipuri na virainishi vya pikiki almaarufu bodaboda kwa maeneo ya pembezoni mwa miji(mji) Tumependelea kutumia maeneo ya pepembezoni mwa mji kwa kuwa ndio sehemu zenye huduma nyingi za pikipiki au boda...
  3. S

    Utamtambuaje mwanamke kama hataki kukuchezea?

    hakuna mapenzi ya kweli siku hizi.kwani kila m2 tmpenda m2 kwa sababu ya ki2.hivyo basi kukukalia uchi sio sababu kuwa anakupenda.
  4. S

    Utamtambuaje mwanamke kama hataki kukuchezea?

    hakuna mapenzi ya kweli siku hizi.ndiyo maana makahaba wengi wapo cku hizi.hivyo kuwa makini sana
  5. S

    On Star TV: Tuongee Asubuhi Kupitia JF - Umri wa wagombea Urais

    umri is a just a number.so kikubwa ni kutambua kuwa hawa tunao wachangua ili watuongoze katika ngazi mbalimbali wanaweza?maana kuongoza ni kipaji na wala sio kuwa na elimu kubwa.
Back
Top Bottom