Unayosema ni kweli gharama za hizo chanjo na drugs ni kubwa.
Ila most of African countries zina zaidi ya miaka60 tangu zipate uhuru,na still hazijawekeza kwenye science na research. Nchi tangu zianze kujitawala bado hazijaweza kuzalisha wataalamu wa madawa,bado hazina uwezo wakutengeneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.