Recent content by swamila

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

    Wapendwa leo nimekutana na changamoto wife kanionyesha sms zote jinsi tulivyokuwa tunachati na mchepuko. Kilichonishangaza ndo hicho make sms zote tulizochat nilidelete kwahiyo nimeenda home nikijiamini kuwa simu ni safi hakuna kitu chochote nilichokutana nacho sasa majanga. Ebu mwenye kujua...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Chief nitafutie Brevis inayoanzia na plate namba DM ingine iwe 1JZ unitumie uje na ofa yako
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya kioo cha mbele cha Brevis

    Wanabodi napenda kujua gharama ya kioo cha mbele cha Brevis kwa Mwanza na Kahama au hata Dar.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

    Tatizo kama la gari yangu Brevis asbh nikiwasha mpaka niikanyagie kidogo nisipoikanyigia inazima.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Taratibu za kupata zikoje
  6. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Taa ya nyuma ya brevis bei gani ile ya kwenye buti pamoja na ile ya indicator
  7. S

    JamiiForums Tanzania Garage ya yenye wataalam wenye vifaa vya kisasa.

    Naomba msaada kwa Jiji la Mwanza penye garage nzuri ya magari madogo. Gari yangu aina ya Toyota Brevis inaniwashia alama ya check engine ikiwa kwenye mwendo nikisimama na kuzima halafu nakuwasha tena inapotea kwa muda badae tena inarudi nikisimama nikazima gari halafu nikiwasha tena inapotea lkn...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

    Mkuu umeelezea vizuri sana. Naomba unisaidie kitu isijekuwa nami gari yangu yalishaondolewa. Gari yangu ni brevis ninapowasha nakuondoa gari rpm inakuwa kama inajump kutoka 1 kwenda 2 nahapo speed inakuwa chini ya 40. Lkn rpm ikishafika 2 nakuendelea gari inaenda vizuri tu bila shida yoyote.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua changamoto nayokutana nayo kwenye Brevis

    Naomba msaada gari yangu aina ya brevis nikiendesha inakuwa kama inajump rpm inapopanda kutoka 1 kwenda 2 lkn ikishafika mbili inachanganya vizuri tu na huwezi jua kama gari inashida lkn pale speed inapokuwa chini ya 40 na rpm inakuwa katikati ya 1 na 2 ndo shida inaanzia hapo.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Kama una brevis nyeusi naomba unitumie
  11. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Nitumie namba ya whatsap
  12. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Ebu nitumie picha
  13. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Natafuta Brevis ya 5M nyeupe au nyeusi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Chukua hiyo pesa chief nije nikague gari
Back
Top Bottom