Ahsante sana mkuu kwa ushauri mzuri! Nitalifanyia kazi hilo suala la Upwork, naamini linaweza kunisaidia kupanua wigo zaidi, ingawa kwa sasa natumia jukwaa la ProZ 🙏.
Habari zenu wapendwa wanajukwaa.
Nawasilisha, kama wewe ni mwanafunzi, mwalimu, au mtafiti anayekumbana na changamoto za kuandaa maandishi bora, basi usiwe na wasiwasi! Nimekuwa nikitoa msaada kwa watu mbalimbali katika kazi za maandishi, na niko tayari kusaidia hapa pia.
Naweza kukusaidia...
Habari Wana Jamiiforums!
Kama wewe ni mwanafunzi, mfanyabiashara, blogger, YouTuber, au mtu yeyote wa kawaida anayehitaji msaada wa haraka na bora katika kazi za maandishi na content. Usihangaike tena!
NATOA HUDUMA ZIFUATAZO:
Kuandika Articles & Blogposts kwa tovuti, mitandao ya kijamii au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.