Recent content by Swahili Marketer

  1. Swahili Marketer

    Je, unatamani Kufanikiwa katika Kuitangaza na Kukuza Biashara yako Mtandaoni? Soma hapa

    Siri 3 Usizozijua za Social Media Marketing[emoji33] Je,Unatamani Kufanikiwa Ktk Kutangaza na Kuikuza Biashara yako Mtandaoni? Basi Tumia Siri hizi 3 ambazo Wafanya Biashara wengi Wanazipuuzia.. Ili uweze Kufanikiwa (Siri #3 ni ya Muhimu zaidi) Anza hapa na Siri #1 [emoji1427] 1. Market...
  2. Swahili Marketer

    Vitu 3 Ambavyo Vitafanya Tangazo lako la Biashara Lifanikiwe au Lifeli Online

    Nimefanya kazi ya Kutengeneza Matangazo ya Wafanyabiashara pamoja na Matangazo yangu binafsi... Naweza kukuambia kama Unahitaji Tangazo lako Lifanikiwe au Lifeli Basi zingatia/usizingatie Vitu hivi 3 unapofanya Matangazo yako 1. Muonekano wa Tangazo Hapa nimetumia muonekano kwa sababu...
  3. Swahili Marketer

    Vitu 3 Wateja wa Online Wanapenda sana Kufahamu kutoka kwako Mfanyabiashara

    Shukran kwa kusoma pia... Nafurahi kama umepata kitu
  4. Swahili Marketer

    Vitu 3 Wateja wa Online Wanapenda sana Kufahamu kutoka kwako Mfanyabiashara

    Wengi wakiona Hamna bei wanaacha, Au wanauliza na kupotea Bora urahisishe kwa kuweka ata bei ya kuanzia Ili mteja akikufata mnaanza negotiations
  5. Swahili Marketer

    Vitu 3 Wateja wa Online Wanapenda sana Kufahamu kutoka kwako Mfanyabiashara

    Na wanauza vitu bei rahisi, afu Unaambiwa tuma nusu... Nusu mzigo Ukifika Ukinichanganya tuu... Umeliwa
  6. Swahili Marketer

    Vitu 3 Wateja wa Online Wanapenda sana Kufahamu kutoka kwako Mfanyabiashara

    Kama unatangaza Biashara yako Online.. Bila shaka Unatafuta Wateja wa Online Wateja hawa, sio kwamba wana utofauti sana na wateja wa kawaida (offline),...ambao wanaweza kuja dukani kwako kabisa Lakini tofauti ya kuuza online na offline, ni kwamba Mteja wa online mnakuwa hamuonani.. Probably...
  7. Swahili Marketer

    Jifunze Digital Marketing in Swahili Series (Season 2)

    Habari wakuu, Ninayo furaha kutangaza kurejea kwa series yetu pendwa ya mafunzo ya Digital marketing kwa lugha ya Kiswahili. Nilikuwa active sana humu mwaka 2020 na mwaka jana mwanzoni... Nikapotea kutokana na Majukumu ya kazi na projects nilizopata Lakini nna furaha kuona watu walijifunza...
Back
Top Bottom