Habari,nauza eneo na banda la kufugia Nguruwe, bagamoyo,eneo ni zuri 1600sqm,malipo kwa installement kwajili ya eneo inawezekana na endapo unamaliza intallment ya mwisho unapewa na hati kabisa ya wizara ya ardhi,eneo tayari tuliweka maji tayari,unaweza kufuga hata bata na kuku ukipenda soko kule...