Recent content by suygal

  1. S

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu ndoto hii

    thanx....mzaz mwenzie haishi na mtu,,,mtt ni hyo aliezaa na mume wngu... nyumba hajawah kuish but alishawah kuja mara nying kipindi mimi sipo... mawasiliano nae sina na wala sijawah kuonana nae zaid ya kwny ndoto na picha... bado atujafunga ndoa ila tunategemea mwaka huu kufunga ndoa
  2. S

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu ndoto hii

    habar zenu wapendwa!!mimi naitwa mama L..... kuna ndoto ambayo inanitatanisha hivyo naomben msaada wenu kwa wale wanaojua tafsiri za ndoto.. NDOTO yangu ni kwamba uwa naota maiti zipo ndani kwangu au kma sio ndani basi zipo kwa nje ya nyumba zimening'inizwa knyw mti... na chazo cha ndoto naaza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

    Hakuna muoaji wala muolewaji hapo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

    Daah,,,,, kazi ipoooo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Karibuni wageni wote jamiiforums.

    thanx much
Back
Top Bottom