Recent content by suwifred

  1. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika mazingira

    Kama nchi itunge na kusimamia sheria ya maziko itakayokataza kuzika watu kwenye makaburi ya zege kuanzia chini mpaka juu. Haina hii ya mazishi inaathari kubwa kwenye mabadiliko ya tabia ya nchi ukizingatia binadamu tunakula mazao ya ardhini, tunakula wanyama wanaokula vya ardhini. Kitendo cha...
  2. S

    SoC04 Story of change

    Utamaduni wa watu kuzika watu kwenye makaburi ya zege unamadhara makubwa kwenye mabadiliko ya hali ya hewa. Binadamu na wanyama tunakula mazao ya ardhini,tumekata ecosystem kwa kutorudisha vinyesi kwa sababu za kiafya japo kuna namna itabidi tuirudishe. Lakini mbaya zaidi kitendo cha kutozikwa...
  3. S

    SoC02 Lini Afrika itaendelea?

    Najiuliza kama tusingetawalia kimabavu Africa nila ukoloni tungekuwa wapi leo hii, je teknolkjia ingetupita ? au elimu ingekaa kando nasi? Napata jibu kuwa bila Africa hamna nchi yoyote ambayo ingesonga mbele, kwamba wote wanategemea mali asili na malighafi zetu wate wanaiba teknolojia yetu na...
  4. S

    Sababu za vijana kushindwa kujitegemea

    Mfumo wa elimu ni tatizo sana lakini lisitufanye tukalemaa nalo
  5. S

    Sababu za vijana kushindwa kujitegemea

    Anaomba nyumbani na kwa marafiki
  6. S

    Sababu za vijana kushindwa kujitegemea

    (Nyumbani kwa mzee Jingo sebuleni) Mzee Jingo : Hivi Chuma utakaa nyumbani mpaka lini, kijana mwenye nguvu huna kazi unashinda vijiweni Chuma : Mzee unatambua wazi kazi hamna nikipata kazi nitafanya Mzee Jingo :Vijana siku hizi hamtaki kuwajibika unashindwa ata kulima ! Chuma : Sasa nilime...
Back
Top Bottom