Recent content by Sutra

  1. S

    Mke mkorofi

    Jamani me nadhani kabla ya kumshauri mngemuuliza kwanza chanzo cha ugomvi ni nini! Mana nimesikitika mnachangia kitu ambacho hamjui ukweli wake. Mm huwa naamini naweza kusolve matatizo yangu kwa kumshirikisha mungu kupitia maombi na wakati mwingine kupitia watu wenye busara km wazazi etc...
  2. S

    Mke mkorofi

    Mbona anafanana na wangu..yaani anaona she is right kabisa..sasa nasema kweli moyoni anaona hvyo au ni nje tu kwani inakua obvious kakosea lkn hataki kabisa anasema mm ndio nina kosa..
  3. S

    Mke mkorofi

    Mmmh pole sana..yaani hata mm ikitokea kuachana nitaona bora nikae mwenyewe tu..and najua nitaweza tu..yaani ni mzuri tu tatizo tabia yake haiendani kabisa..
  4. S

    Mke mkorofi

    Thanks a lot..im sensing it now kwa kweli..
  5. S

    Mke mkorofi

    Mmmmh ina maana uliachana na huyo mkeo alikua mkorofi?
  6. S

    Mke mkorofi

    Asante na kweli mm nimeamua sinunui tena chochote. TV ni ya chumbani kwa hiyo sasa ikifika asbh nikitaka kwenda kuangalia taarifa ya hbr sitting room anakataa anasema huko house girl wanasafisha na wamevaa kanga hataki..
  7. S

    Ukijutia kosa lako ntakusamehe!

    Yaani umeisema vizuri sana.
  8. S

    Mke mkorofi

    Lara1 Thanks a lot kwa ushauri. And nadhani inaweza kuweka adabu
  9. S

    Mke mkorofi

    Sidhani. Ila mimi ninajijua weakness yangu ni upole lkn nadhani inabidi nibadilike ajue its tit for tat now..
  10. S

    Mke mkorofi

    Mmmh hujapata kama huyu. Unaweza kusema hivyo lakini ujue lazima itakukwaza
  11. S

    Mke mkorofi

    Nashukuru mkuu..natumaini leo nipate ushauri ambao nitachanganya na wangu kupata jibu sahihi
  12. S

    Mke mkorofi

    Najitahidi sana wasione yanayotokea ila km huyu mdogo akikasirika na yy anarusha toys zake au kujirusha chini. Sasa nasema sijui karithi tu tabia au ni kitu ambacho amewahi kuona.
  13. S

    Mke mkorofi

    Asante kwa ushauri, ila nadhani km kuna wataalamu wa ku manage hasira watasaidia kumweka sawa. Muhimbili wapo?
  14. S

    Mke mkorofi

    Unajua ninakua tu mstaarabu tu lkn sasa hivi ndio nimechoka. Na nimeamua sinunui chochote ku-replace kilichoharibiwa.
  15. S

    Mke mkorofi

    Na kanisani anaenda sana kusali..na tunaenda wote pia..ila anatukana sana matusi utafikili nn sijui.
Back
Top Bottom