Recent content by Sush16

  1. S

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    raskaka Shunie Lucha Antonnia Dr Restart baby zu Analyse DeepPond Chizi Maarifa dr namugari Gily
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Lucha Gily
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwl. Ndosi aliyefundisha Shule ya Msingi Muhimbili afariki dunia

    Wewe itakuwa ulisoma darasa la 7A maana ndio lilikuwa darasa lake pale muhimbili. Nilikuwa namuogopa balaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwl. Ndosi aliyefundisha Shule ya Msingi Muhimbili afariki dunia

    Dah nimesoma muhimbili wakati wake, ila nashukuru sikuwahi kuzipata bakora zake. R.I.P mwalimu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    Uwe una nitag na mimi sitaki kujitag mwenyewe kama wewe unavyofanya
  6. S

    JamiiForums Tanzania True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Naomba uwe una ni tag, dear!! Plz
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Theluthi ni moja ya tatu, yaani kitu kimoja ukigawanye sawa sawa katika sehemu tatu. Robo ni moja ya nne, yaani kitu kimoja ukigawanye sawa sawa katika sehemu nne. Mzimu wa Kolelo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    It's a mystery, na ndiyo inapendezesha na kutia hamu ya kusoma story. Kama wewe ni mpenda kusoma hadithi/novels za mystery/crime and investigation, utakuwa umenipata. Vitu vingine inabidi viwekwe mpaka mwisho ili na wewe upate hamasa ya kuendelea kusoma, kufikiri zaidi.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Nadhani watu wengi humu si wenye kupenda kusoma vitabu vya hadithi/novels na kuelewa, lengo la muandishi ni kuelezea nini? Nashauri watu warudie kusoma kichwa cha habari.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Nadhani watu wengi humu si wenye kupenda kusoma hadithi za kwenye vitabu/novels kwahiyo hawajui hata story ina lenga nini. Nashauri watu wangerudi kwenye kichwa cha habari ya story
  11. S

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo ya ajabu niliyowahi kuona na kushuhudia kwa macho yangu, sitoyasahau katika maisha yangu

    Hili jina la Sharamdala limenikumbusha tamthilia moja ya Filipino ya twins
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

    Siyo adisi, ni Hadithi.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    🙄 yaani nyie wawili...kha!!
Back
Top Bottom