Recent content by Sure90

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uzi gani wa hapa Jukwaani ulibadilisha maisha yako?

    Habari wana JF, hili ni jukwaa kubwa na zuri linalowapa watu ujuzi na maarifa katika nyanja tofauti tofauti Hebu tusaidiane hapa ni Uzi gani humu ulioupitia na kuufanyia kazi, kwa kiasi kikubwa umebadili maisha Yako(kufikiri na utendaji)? Tupe ushuhuda na wengine wajifunze.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwekezaji wa kuwekeza milioni 50 katika Hotspot Business, mtaji utarudi ndani ya miezi 6

    Ni kweli, ulionesha negative energy kama alivyoandika, pia umeonesha kudharau elimu kwa maneno kama "wasomi bwana", ilhali inaonyesha wewe pia ni msomi. Kikubwa tunapaswa kutia moyo mawazo ya wengine kwakua Kila jambo tunalonufaika nalo Sasa ni matokeo ya wazo kama hili, na kikubwa zaidi katika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini CHADEMA wanaolilia katiba mpya hawataki kufuata katiba yao inayoruhusu Mbowe agombee?

    Maoni yangu kwa namna nilivyofatilia maandlizi ya uchaguzi CHADEMA ni kwamba. Wananchi ambao ndio wapiga kura ktk uchaguzi wa Taifa wanatamani mabadiriko ktk uendeshwaji wa Chama. Hawapendi Mbowe agombee kwasababu wamefanya tathmini Yao kwa Muda wote wa uongozi wa Mbowe na Viongozi wengine...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

    Ni vyema chama kiwe kinakaa na kufanya vikao vya mara kwa mara vya uongozi wa juu mara inapotokea mifarakano. Ni aibu Kila mwaka wa uchaguzi ndani ya chama ukawa na makandokando Kama haya. Mwaka huu ni wazi wananchi na hata baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wanamuhitaji TAL ktk nafasi ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

    Mdau uliandika hii post, tupe mrejesho.baada ya mechi, Ni Nani kafuzu hatua ya robo fainali.?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

    Hahaaa! Mdau inaonekana ushabiki umekukaa Sana na hizi timu zinakutesa. Pia nimegundua Hawa wasemaji wa timu zetu hizi wanapoongea na kutamba wanawakwaza Sana Mashabiki wa upande wa pili. Kama unafikiri upo katika kilele Cha furaha baada ya Simba kutoa draw usiku wa Jana basi unajidanganya...
Back
Top Bottom