Wakati mbunge anapiga campaign Usiku na mchana..... We umesahau Kuwa mwalim alisomea miaka mitatu??????? Kukesha na supplementary za vyuo!!!!! Au unataka kujua ni nani mwenye majukumu makubwa!!!!!! Shame on yourself.
Respect our Tanzanian teachers are so tolerance
We ss Lin uliona serikali kulazimisha watumishi kufanya mazoezi? Au ndo kugawana fedha za walipakodi hadharani?
Kwa upande Wang ni bora raia waandamane kukemea hili
Aibu iliyoje..... Hapo tena hakuna kazi Bali mwendelezo Wa unyonyaji Wa kasi y kiectron.
Tunavyozungumza ss taifa stars wameogelea wiki kwa algera ss hayo mabilion c wayapeleke vyuoni kunusuru wanafunzi maskini!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.