Habari wana kukaa,
Naomba msaada nna ujauzito wa mwezi na siku kadhaa. Naomba kujua kama ina madhara nikimaliza chanjo ya homa ya ini imebaki moja natakiwa niichome mwezi may. Je inaruhusiwa au ina madhara kwenye ujauzito
Sent using Jamii Forums mobile app
maisha ya mahusiano yamepoteza upendo, msisimko, huruma hakuna , ni kusalitiana tu, baba mmoja naweza kua na watoto 5 wa single mothers na asiwajali , ukijua hayo ni kutulia tu na mwanao ukalea uepuke pressure
Mais
Mungu hahukumu kama binadam, dada amejutia mnataka alieje ndio mjue, by the way hapa amefata tu kutiwa moyo ila uthubutu kashaweka,
nikushauri tu umlilie Mungu bila kuchoka ipo siku utakua huru kumueleza mmeo na atakusamehe kwa muda wake , ndoa hailindwi kwa kuogopa kusema maovu ya nyuma bali...
ni vizuri kuolewa na mtu unayempenda but ni vizuri zaidi ukiolewa na mtu anayekupenda pia, woman akionyeshwa mapenzi n care kupenda ni rahisi, go for the one who is serias, achana na huyo aendelee kuevaluate alio nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.