Recent content by SuperKapeto

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, wataka kufanya biashara kutoka China?

    nikupe mtu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro: Mbowe jisalimishe Polisi; Masogange, Chid Mapenzi, Wallis Nasher tumewakuta na madawa

    sijawah ona ukiitwa polisi unatumia vyombo vya Habari..its too uneducational kaih
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro: Mbowe jisalimishe Polisi; Masogange, Chid Mapenzi, Wallis Nasher tumewakuta na madawa

    Mbna jana Mbowe alikuwa ktk Mkutano wa Kichama na Chadema kwan walishindwa kwenda mkamata...Au hawa Summons..yaan mtu unaitwa Polisi kwa njia ya Tv na Magazeti je kama hii isingekuwepo si wangerud zama za kubandkana ukutani...WANTED
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    nauza yang 530000 mpya
  5. S

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Inakuuwa ya kichamaa ila embu tujikumbushe wkt wa kampen wasanii walikuwa wanatembea na viongoz ina maana Mama Samia hakuwa anajua Wema anapiga Bangi au
  6. S

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Lakini hii ni ishu ya kitaifaa...Na watu wasio na vingamuzii au na Azam wataona je Clouds...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Hivi clouds tv ndyo Televison ya Taifaa ambayo walipa kodi wakitanzania wanaiendesha au hii ishu ya makonda ni ya kibiashara zaid ili kuongeza Mapato na Utazamaji Clouds....Inakuwa je Majizzo mpka leo hasikiki??
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kimenuka P-Funky Majani na Jose Chameleon, kisa wimbo wa 'Bomboclat'

    psquare wenyewe nyimbo yao ipo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kimenuka P-Funky Majani na Jose Chameleon, kisa wimbo wa 'Bomboclat'

    Halaf hyo Movie ni kuhusu kitabu na Maisha ya Mtu Phiona Mutesi so amelipwa na Disney movie jst watengeneze muvi yake...Pfunk tafta chako tu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lissu anyimwa Dhamana, kupelekwa mahakamani kesho

    Nw adays u cant tok shit kuhusu Serikal wkt Nchi kama Uingereza na USA viongoz wana bullshit kukosolewa ktk media tena na waandishi wa habar au ina maana Muandishi wa Habar wa Kenya au BBC akitoa comment khs Nchi ya tz Kuwa ya kidikteta je atafungwa [emoji52][emoji52][emoji52]
  11. S

    JamiiForums Tanzania Maoni Ushauri na Mapendekezo kwa mabasi ya mwendo kasi (DART): Nini changamoto, nini umefurahia?

    Ushawahi sikia Sikio Kumzidi Kichwa basi ndyo leo Hapa Kituo Cha Morocco...Dereva Amegoma Kuondoa Gari ya Mwendo kasi kwa Amri ya Mlinzi chanzo Abiria Kupanda Upande wa Kushukia Abiria mwsho wa Kituo...Ukizingatia walio panda upande huo ni Wazee na Wamama Wenye Watoto wadogo wanaoshndwa Minyana...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Angekuwa Mkwere Wema Sepetu angewekwa Ukuu wa Wilaya tu...maana mkwere anapenda Beijing sanaa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Ina maana Rose Migiro pia katupwa duh😈😈😈
Back
Top Bottom