Recent content by SuperHb

  1. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mzigo nilioagiza umekwama kwa carrier wasambazaji wa SpeedAF

    Kivipi ndugu yangu...?
  2. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mzigo nilioagiza umekwama kwa carrier wasambazaji wa SpeedAF

    Habari ndugu... Nimeagiza (WIFI ROUTER) AliExpress... Inaonyesha mzigo imeshafika kwenye Kituo changu Sasa nashangaa nikitrack...inaonyesha mzigo umefail kunifikia eti amba yangu hapatikani... Nimejaribu kwenda Kituo Cha kupokelea mizigo mtaani kwangu..wanasema haujafika...sasa sielewi
  3. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

    Asante Mkuu... nimekuelewa
  4. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

    Habari ndugu zangu... nimerudi tena... Kama ni wafuatiliaji wa threada zangu zilizopita kuhusu MKE wangu,,mtakuwa mnanielewa Tangu MKE wangu aondoke,,,kwasasa ni Mwezi Mmoja na Nusu,,, niliamua kumpotezea ,,, kufanya shughuli zangu kama mlivyonishauri kwenye nyuzi zilizopita...,,,baada ya...
  5. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

    Hii mbinu ya Mwanaume kuwa kimya...inasaidia Ex wako kurudi...Iko hivi ukiona mwanamke amekuacha...hata kama unampenda vipi...usimtafute kwenye Simu,,,Wala kumtext,,jikaze sana,,,kama atakuwa bado ana hisia nawewe atakutafuta mwenyewe...na Possibility ya kurudiana inakuwa kubwa..kuliko wewe...
  6. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Sasa hivi...ananipigia Simu,,,na kunitumia vimeseji,,, akijifanya kuulizia mtoto,,,.. Ikipita kama siku mbili hivi ananipigia Simu,nisipopokea anatutuma meseji eii "Mbona hupokei Simu,kuna jambo nataka tuongee"". MImi Niko kimya sijibu chochote
  7. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Mimi sikumfukuza,,Wala sikutaka aondoke,,,nampaje nauli?
  8. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Namshukuru kwa mawazo mazuri
  9. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Namba yake Ninayo...ila siwezi kumpigia,,,,labda yeye atakapoamua kunipigia
  10. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Alionisaliti nao...wamnunulia nguo... Ndugu yangu,,,huko Nyuma kipindi Niko nae alikuwa ananitambia kwamba wanaume wanamsifia anavyovaa nguo zinampendeza,,,, Sasa ndo maana nimeamua,,,aende huko wanaomsifia WAMNUNULIA za kwao
  11. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Inauma sana Najuta ndugu...Sina amani tena ndani ya moyo wangu
  12. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Shida ipi
  13. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Ndugu hapo ndo Kuna Mtihani
  14. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Miaka 2.8
  15. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Ni hasira ndugu...baada ya kunitamkia TUACHANE...niliona ili kupunguza maumivu nimyanganye kila kitu...ndo nitakuwa na amani,,,,maana niliona ninunue nguo zote kwa kujinyima,,halafu aende huko anakoenda Wanaume wengine wamuone amependeza kwa nguo zangu nilizomnunulia?
Back
Top Bottom