Recent content by SuperEnthusiasis

  1. SuperEnthusiasis

    Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    Asante sana mwanangu, ngoja nianze kuchukua hatua maana naona majibu yenu humu wanajamvi yananipa nguvu
  2. SuperEnthusiasis

    Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    Shukrani sana mwanangu, mitaji yenyewe yakuungaunga hii tunajaribu kupunguza gharama
  3. SuperEnthusiasis

    Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    Hii imenitia nguvu, maana ni kama ushuhuda. Ubarikiwe kaka
  4. SuperEnthusiasis

    Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    Kama itakuwa basi nitahamishia kwenye fremu, ila kwa sasa kulingana na mtaji nilionao nimeona ni bora nifanye hivi
  5. SuperEnthusiasis

    Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    Hii nayo ni fact, japo yeye sio mtu wa kujipost lakini ni mchapakazi. Naamini ataweza
  6. SuperEnthusiasis

    Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    HAbari zenu wakuu. Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo. katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na kama milioni nane(8) ili niweze kumvua mtu fremu, bado tra, pia kodi ya hiyo fremu ni 300k kwa mwezi...
  7. SuperEnthusiasis

    Utaratibu wa vyuo vya kati (diploma )kuwasajili wanafunzi automatically na kugoma kufuta usajili unawaumiza watoto hawa

    Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB. Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
Back
Top Bottom