Gari ya biashara inauzwa, aina ni Isuzu Journey engen ya 4BD1, iko barabarani kwa sasa na vibali vyoote vipo active, TLB, Insurance, Kodi ya Mapato. Ilikuwa njia ya Ubungo Masaki sasa imehamishiwa Makumbusho Ununio, barabara nzuri sana, kwa wanaojua magari ya biashara Isuzu Journey is the best...