Recent content by super black Boy

  1. super black Boy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    chambua na ww ukiona inalipa risk pesa yako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. super black Boy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    amenasa Leo kwa NBA Sent using Jamii Forums mobile app
  3. super black Boy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    watakaonifuata haya...tupeane support Sent using Jamii Forums mobile app
  4. super black Boy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hapo kila MTU ashinde kwake isee Sent using Jamii Forums mobile app
  5. super black Boy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hakuna draw tamu ya UEFA kama mwaka huu isee round of 16 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. super black Boy

    Inauma lakini maisha lazima yasonge mbele

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sio wote walio jf ni madogo...kuwa na heshima unabishana na mzazi wako ujue Sent using Jamii Forums mobile app
  7. super black Boy

    Inauma lakini maisha lazima yasonge mbele

    Pesa natafuta Ila ndo amenipa hasira zaidi ya kutafuta pesa....ingawa kwa mahesabu hajala pesa yangu zaidi ya 150k Sent using Jamii Forums mobile app
  8. super black Boy

    Inauma lakini maisha lazima yasonge mbele

    dist111, Mkuu kwa kweli nimeshamuondoa kwenye list yangu sina mpango naye tena na kama akija kunitafuta nitamjib shit kama alivyonijibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. super black Boy

    Inauma lakini maisha lazima yasonge mbele

    Glenohumeral joint,Hatar sana hivi viumbe ni shida tupi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. super black Boy

    Inauma lakini maisha lazima yasonge mbele

    Sijui kama imeshawahi kukutokea kitu kama hichi. Kuna demu nilitokea kumuelewa sana na katika harakati za kumtongoza akanisumbua sana maana aliniambia kuwa ana mtu wake lakini kama desturi ya wanaume kukubali majibu ya hivyo kwa mara ya kwanza huwa ni vigumu sana. Hivyo niliendelea kumsumbua...
  11. super black Boy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hahhahaaha.....kanji kumuacha labda betting site zote zifungwe iseee....zaidi ya hapo ni sawa na mvutaji bangi umwambie aache kuvuta bangi sidhan kama atakuelewa
  12. super black Boy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    man city anakufa Leo....Liverpool draw,
  13. super black Boy

    Imeshawahi kukutokea hii?

    Imagine umepata mpenzi wako mpya halafu anakuambia muende kupima Virusi vya Ukimwi ( VVU) na ikatokea kwa bahati mbaya utachukua hatua gani? Wengi hapa huishia kukatisha mahusiano. Lakini je, hili ni jambo jema? Na kama sio vyema kwanini watu tuishi kwa stress kwa sababu ya hili janga la...
Back
Top Bottom