Habari wakuu, Mimi ni kijana mwenye miaka 23, ndoto yangu kubwa baada ya kumaliza chuo ilikua ni kuanzisha shirika la kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu, pamoja na ufugaji wa kuku. Lakini changamoto yangu kubwa nina kiasi kidogo cha fedha, je itawezekanaje kulitimiza hili naombeni...