Recent content by sunshine1

  1. sunshine1

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Kama hujui wanawake wanaongoza kwakuoneana wivu basi nenda kichwakichwa! Hata mama yako mzazi anaweza kuongea uongo kuhusu mwali wake kama hampendi! Jiongeze!
  2. sunshine1

    Mchunge sana mkeo wakati wa hedhi, kuna watu huchukua damu za hedhi zao

    Choma moto Acha maajabu! Choo kikijaa mtanyonyaje!
  3. sunshine1

    Watu 300-350 wanafika hospitali kila siku kwa matatizo ya Moyo, soma jinsi Pombe, Sigara na Mafuta zinavyochangia

    Kwanini hawajataja matumiz holela ya Energy drinks! Energy inaweza hata kupelekea moyo kusimama ghafla bila dalili yoyote! Na ndiyo zinanyweka saba these days!
  4. sunshine1

    Jinsi ambavyo bwana Denis anateseka na ndoa yake ya kufosi labda malaika pekee ndio waingilie kati!

    Msaidieni jamani asife. Muunganishe na Idd Makengo japo apate counseling au niunganishe naye nimpe ushauri wa kitaalamu
  5. sunshine1

    USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

    Kabisa yaan! Huwa sipendi ku comment sana huku ila hapo nimeshindwa kujizuia maana nimesoma akili yako nikama vile unatamani upewe support yakumrudia! Be a man!
  6. sunshine1

    USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

    Yaan kote umekosa hadi urudie ya kale? Mwaka mzima unajua ameshapita na wangapi? Kwanini vijana wa sikuhizi hamuwezi kujisimamia? Ishinde tamaa! Kumbuka mzahamzaha hutumbua usaha we endekeza hizo chatting!
  7. sunshine1

    Msaada: Maumivu ya koo upande wakulia wakati wakumeza mate au kugeuza shingo

    Sikuhiz kuna magonjwa mengi ya koo. Ndiyo sababu nakushauri usitumie dawa kiholela nenda hospital kubwa kapime!
  8. sunshine1

    Msaada: Maumivu ya koo upande wakulia wakati wakumeza mate au kugeuza shingo

    Nenda hospital kubwa kama muhimbili tena wahi vipimo!
  9. sunshine1

    Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Inawezekana huyo mwanamke anacho kitu chatofauti kinachofanya jamaa ashindwe kumuacha. Just like you unavyoshindwa kumuacha mchepuko wako. Siyo rahisi kihivyo! Hahaha 😆
  10. sunshine1

    Mchepuko anatishia nisipomhudumia nitasaidiwa majukumu na wanaume wenzangu

    Nionanvyo huyo dada reasoning capacity yake ni ndogo sana. Hawezi kuunganisha matukio like wewe kuumwa nayeye kukosa ile support yako yakila siku. Yeye anafikiri mambo yanatakiwa yaende automatically tu kuwe jua au mvua. Of which maisha hayako straight line like that. Hata akiolewa aisee huyo...
  11. sunshine1

    Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    Hilo ni jini mahaba. Usipofanyia kazi hiyo hali hutakaa use kamwe!
  12. sunshine1

    Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

    Huyo kaja amefundwa kupindua meza. We muendekeze! Mahg wengine wako very strategic kwenye kupandishwa cheo!
  13. sunshine1

    Namchukia mzee wangu-Muendelezo

    Sasa kama umekuwa watofauti na wengine basi mshukuru Mungu na uache kulaumu! Ukishukuru mambo yako yanafunguka zaidi. Ukikaa kulaumu na kunung'unika unajiandalia anguko lako. Kama maisha yako yanamuelekeo na bado unalaumu je ungekuwa kama hao ndugu zako wengine ungefanyaje? Familia ikishakuwa...
  14. sunshine1

    Mke wangu hajiamini, anajiona mbaya kila wakati

    Hilo ni tatizo spiritual zaidi. Ana roho yakujikataa. Nione nikuelekeze chakufanya. Ukimuacha damage utakuwa kubwa zaidi kwake na familia!
  15. sunshine1

    Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

    Nadhani badala yakuwaona kama changamoto waone kama backup kwako yakukufikisha kwenye malengo yako. Think positive. Msikilize mwanasaikolojia unaweza kujifunza jambo.
Back
Top Bottom