Hbr za Jumapili? Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza.
Nahitaji mke mwenye sifa zifuato:
Mcha Mungu
Mkweli
Muwazi
Umri 27 -39
Elimu yyte
Anajishughulisha
Kabila lolote
Sifa zangu:
Mcha Mungu
Mkweli
Muwazi
Umri 40
Mujiriwa serikalini
Elimu shahada.
Kama upo tayari niPM tufahamiane zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.