Recent content by sungwa32

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ona Mafuriko yalivyo ikumba Mwanza

    ujinga ni pale unaposomba watu na fusso.na usafiri mwingine halafu uwaambie watu mafuriko.mafuriko ni ya watu kujaa wenyewe na sio kusombwa na kuwapa posho
  2. S

    JamiiForums Tanzania Namuona mzee Wassira kama mzee Malecela na kamanda Bulaya kama Kibajaji

    mimi ndio naishi bunda.wewe unamtetea wakati hata kwenye kura za maoni ccm kapita kwa goli la mkono.kapita kwa mbinde
  3. S

    JamiiForums Tanzania Namuona mzee Wassira kama mzee Malecela na kamanda Bulaya kama Kibajaji

    anapigwa chini.jana kulikuwa na ufunguzi wa kampeni za ccm bunda mjini.ccm walikuwa wanafungua kampeni stendi ya mabasi ya zamani kwa wale wanaoijua bunda.sasa kumbe kule kwenye uwanja wa sabasaba kulikuwa na show za wasanii kina Senga.H baba.na msanii flani hivi maarufu wa nyimbo za asili huku...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Namuona mzee Wassira kama mzee Malecela na kamanda Bulaya kama Kibajaji

    hapana Wassira wana bunda hawamtaki hata 2010 alishindwa vibaya ila akatumia goli la mkono lakini mwaka huu mmmmmm
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    wajinga ni wengi bado lakini sio sana.october 25 lazima tuwaonyeshe
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kugawa milioni hamsini kila kijiji ndio kuwaondolea wananchi umaskini?

    we hata ungesema kitu gani huwezi kutubadilosha huo wimbo wenu wa ukabila tumeshauzoea mimi ni msukuma yaani hata ukawa wangeweka jiwe kura yng siwezi kuwapa ma ccm
  7. S

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujichanganya ili kuficha udhaifu, Lowassa aumbuka juu ya uwezo wa kufanya kampeni

    wenyewe hata wazuie kupiga kampeni haitasaidia
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nionavyo: Azam Energy Drink ina madhara ukiitumia vibaya

    asante sana kwa taarifa yako nzuri nimeipenda
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda kwa viongozi wa CHADEMA baada ya Magufuli kukubalika

    taahira huyu hivi uzi kama huu kwanini usiutoe wakati mnakula dinner na ndugu zako au upost instagram kwa watoto wenzio
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ukawa! Ukawa kura hizi zitapotea

    safi sana
  11. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kama Una akili zinakutosha kabisa huwezi kuisapoti Ccm
  12. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mi naona kwa wanaoisapoti Ccm akili zao haziko sawa sawa
Back
Top Bottom