Mzizi mkavu, si kweli kwamba UTI na Malaria zimekuwa chronic na hazitibiki hospitali. Magonjwa haya yana dawa zake na yanatibika kama mgonjwa akifanyiwa uangalizi na kutumia dawa stahiki kwa mujibu wa miongozo ya afya.
Habari,
Pole kwa wasiwasi ulionao juu ya mzunguuko wako wa hedhi. Kwa kawaida mzunguuko uliozoeleka zaidi (ambao wanawake wengi wanao) ni wa siku 28. Lakini bado kuna mizunguko ya siku 20, 36 na 54 ambayo ni nadra.
Kwanza unapaswa kuangalia kama kuingia mara mbili kwa mwezi (yaani mzunguko wa...
"Nilisisitiza utayari wa nchi yetu kulinda
mipaka yake na kwamba mfano wa mashujaa
waliolala pale ni fundisho kwa mtu ye yote
anayetamani kumega kipande cho chote cha
ardhi ya nchi yetu. Atakiona cha mtema kuni
kilichomkuta Nduli Iddi Amini au hata zaidi." Malawi mjiangalie, rais wangu kasema
guys tunawapa heko wanamtwara kwa sababu hakuna mama, baba, kaka au dada yako anaekufa au kulala nje kule. wAla hauna mtoto ambae atabaki na kumbukumbu za watu wakiuawa, hebu tusali amani irudi tena tanzania. Tupigane kwa kalamu kwenye chumba cha kupgia kura 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.