Recent content by Sungusiandeshi

  1. S

    Moto mkubwa Kahama

    Pole sana kwa wote mliofikwa na janga hilo
  2. S

    Mwendelezo wa safari ya Rais Magufuli na demokrasia ya wapinzani

    Sawa mm nimetumwa ila kawaambie waliokutuma wakufindishe cha kuandika sio ichi cha kuwaandikia wapiga push -up wenzio wa lumumba kuuaminisha umma wa watanzania walio na wasio na vyama
  3. S

    Mwendelezo wa safari ya Rais Magufuli na demokrasia ya wapinzani

    Mpeleke mkeo ukweli upi eti walifanya kwa siri we ungejulia wapi acha propaganda za kijinga walinunua mpaka magari ya kivita kudhibiti rai wasidai ushindi wao leo unatuambia eti ilionekana bara ni ngumu tena nenda upgrade icho kichwa ndio uje kuongea izo adithi za halfu ulela ulela
  4. S

    UHAKIKI: Vyeti Original vyachukuliwa huku Halmashauri ya Jiji la Mwanza

    Inakuaje kama kitakachorudi kikawa feki na ww ulipeleka original ?kuna mchezo ambao nauona apo
Back
Top Bottom