Recent content by Sungudi

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imeiacha Tanzania parefu sana kimaendeleo, shida ni nini?

    Shida inaendelea hapo kwenye ''We unazani badala ya " Wewe unadhani!"
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I have always thought Ceres was a Kenyan brand!

    I think there is a problem in your perspective/imagination solely regarding this issue. I have proved today. That I know these young brothers than you do! How can you imagine impossible things brother/sister?. How can you elevate these people such that, in your brain you imagine Ceres brand...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Sikupingi wala sielemei upande mmoja, Ila naamini Mh. SSH ana taarifa nyingi zaidi yako hadi kufikia huo uamuzi. Hata Ndugu Kadogosa ana taarifa nyingi Sana. Simaanishi PPRA hawana taarifa nyingi.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amenilazimu niweke mafuta ya elfu 10,000 kwenye pikipiki ili nipeleke Tsh 2,000,000 Kijiji jirani

    Ila kodi ya kwenye mafuta umelipa!!! Asante.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

    Source of this information please! Tafadhali Tupe chanzo cha hii taarifa, or attach a video!
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Ni kweli. Watu wengi akili za kushikiwa ndo maana hapa hawapo wanalalamika tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 "Mkono mtupu haulambwi" Mbowe ajitenga na kampeni za Lissu

    CHADEMA kuna shida kubwa Sana.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    Habari, Tupe mrejesho. Naamini Ulivuka salama! Kuna rafiki zetu wanapitia hali kama hii! Uliikabili vipi hatimae?
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kuiga Kenya kisiasa - mwamko mpya Tanzania

    Jipe moyo.. Ccm wamejipanga sana!!!
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kuiga Kenya kisiasa - mwamko mpya Tanzania

    True !!
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kuiga Kenya kisiasa - mwamko mpya Tanzania

    You are on point. Mange alitisha zaidi ya kigogo! Mange alikuwa hata hajifichi. Lakini kilichotokea hakuamni.. Makamanda wa kwenye Twitter/JF/ Insta ndio hao tu.. Labda elf 10 ama 20 wanaleta sana Fujo mtandaoni... Hata corona walishasema sana.. Magu akawaangalia akasema hiiiii!!!! Na hii...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole na Bashiru mmechangia sana huu Uchaguzi kuwa mgumu kwa Dkt. Magufuli

    Mbona unateseka Sana'a! We tulia uone kimbunga cha CCM 28 Oct. Hutaaamini...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kinachoendelea Kampeni za CHADEMA mwaka huu 2020

    Umeonae?
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kinachoendelea Kampeni za CHADEMA mwaka huu 2020

    Alikuwa anaenda Shinyanga akitokea Singida!
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kinachoendelea Kampeni za CHADEMA mwaka huu 2020

    Mwenye picha za Magufuli akiwa Tinde atusaidi kumjibu Kuchakuro Ps
Back
Top Bottom