Poole...
Me ni kama nyongo.. chunguu but necessary...
Heri yangu mie mwenye kamba mguuni, weye nguli JF umejenga Ghorofa humu??
Ukiskia sifa za k!jinga ndio kama hizo sasa... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na baado!!!
Mtaendelea kuchanganyikiwa...
Kushangaa, kustuka na kuogopa kama ilivyo kawaida yenu... maana hakuna chenye heri kwenu kila kitu kwenu kina kasoro...
Na hii dhambi haitoishia hewani, itawarejea na kuwatafuna ninyi wenyewe...
Soon Mtaanza kushangaana, kuogopana na kuchanganyana...
Mtasubiri weeehhh!!!
Alafu tena mtasubiri weeeehh!!
Na bado mtaendelea kusubiri weeeeeehhh!!!
Nimkumbushe tu muoshamiwa...
Dua la kuku halimpati Mwewe daima!!!
Na bado mtatetea kila uovu safari hii... maana ndio nitoke vipi yenu kwa sasa...
Mmehamishia nguvu kwenye kutetea maovu na waovu maana ndio pekee mnao endana nao kisera hafifu na kwa chuki mlizojipandikiza...
Polisi wanabambikia kesi eehh??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kweli...
Hata wachawi na waganga wa kienyeji hutumia maandiko matakatifu ya Mwenyezi Mungu kupigia ramli..
Hivyo sikushangai kabisa wewe na ramli zako...
Ushindwe na Ulegee, Laana mkubwa wewe....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.