Recent content by sumni

  1. sumni

    PreGE2025 Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu?

    wewe hupigi kura unaulizia mambo ya uchaguzi ya nini
  2. sumni

    Russia sio nchi ya kuitegemea kwenye muungano wa kijeshi na ulinzi

    huwa hawasaidiani waziwazi kwani hata iran hajapeleka jeshi lake ukrain? hapo rusia unalaumu kwa lipi
  3. sumni

    Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei akabidhi madaraka muhimu kwa Baraza Kuu la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC)

    "Tuna wapa Muda wa kula Asubuhi tunawapa Muda wa kula mchana tunawapa Muda wa kula Usiku wajifiche wakiwa wameshiba Kuna utu zaidi ya huo?". Ayatollah Khomenei "Hatuna Tatizo na Raia wa Israel wao wakishiba wakae mbali na maeneo ya kijeshi japo Jeshi lao linapeleka Silaha maeneo ya makazi ya...
  4. sumni

    IDF yafanya shambulizi kubwa Gaza alfajiri ya leo, wahanga 35, yaapa kuendelea na vita hadi Hamas iwasilishe majina ya mateka Israel watakaoachiwa

    Wakatoka humo wakiwa wamefedheheshwa wamedhalilishwa... mwenyezi mungu ndiye mwenye nguvu
  5. sumni

    Kama wananchi wote wa Msumbiji wanaandamana kupinga matokeo nani aliipigia kura frelimo chama kikuu na kushinda?

    watetee nini wakati mgombea waliompigia kura ameshinda kazii ya kutuliza vurugu ni ya vyombo vya dola
  6. sumni

    Kama wananchi wote wa Msumbiji wanaandamana kupinga matokeo nani aliipigia kura frelimo chama kikuu na kushinda?

    unafahamu idadi ya waliopiga kura na je hao walioandamana hapo wapo miloni ngapi kisha ndiyo uje utuambie hayo madai yako
  7. sumni

    LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran

    Na israel pale gaza anapoangamiza raia yupo vitani au yupo kwenye operation
  8. sumni

    Tuanzishe kampeni kabambe ya kupinga mafisadi na chawa wote bila kujali cham au dini humu ndani

    Unamaanisha tupinge mafisadi waliomo ndani ya vyama vyote
  9. sumni

    Ilikuaje watoto wawili wa baba mmoja Ibrahim wakawa na vizazi viwili tofauti kabisa kinasaba?

    aliyeruhusu ndoa kwa wanawake wengine ndiye huyohuyo aliyeruhusu ndoa kwa kijakazi hivyo wote walikua wake halali
  10. sumni

    Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa kumchinja mtoto wa mwajiri wake

    NIMEFUATILIA HUYU MTOTO HAJAFARIKI ANAPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI BAADA YA KUHAMISHWA KUTOKA KATIKA HOSPITALI YA MLOGANZILA.
  11. sumni

    LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran

    VIDEO MASHAMBULIZI YA IRAN NCHINI ISRAEL.
  12. sumni

    Nini hasa chanzo na tiba ya ugonjwa Arthritis?

    vipi ushajiunga na mpango wa balozi cuba Humphrey polepole kwa ajili ya kupata dawa ya ugonjwa huu.
Back
Top Bottom