Mbona unawasakama wapinzani kwani hujui kua bunge in LA ccm walaumu ccm ndo walotunga sheria kandamizi upinzani uliuwawa na watu walisema mathara take ndo haya
We we muongo utadhani mdogowake shetani hivi watu walifungiwa akaunti zao na biashara zao mzunguko wa hela ulikua mdogo mno huko kujenga namna gain bwana wewe
Hivi unayasema hata iko mbeya kweli ungekua mbeya au unagari binafsi ungejua ni namna gani bajiji watovu wa nidhamu wanaovatake kushoto hawajali mataa wala vivuko hawana leseni wao akiwaza Kugeuza anageuza popote bilakufikiri
Umwombe na mungu uwe mzima mana hakuna aijuae kesho yake na kwa chuki hizo sijui kama mungu anapendezwa nazo mtangulizi wako alikua na mengi ya kuwafanyia wapinzani huko wapialiwaahidi watu vitu vingi kumbuka mwandamu anapangu mungu anakamilisha hesabu
Heee huoni aibu kuandika eti haki ilikuwepo kahakamani jamani shetani wakati mwigine anasema on a hawa wanadamu wamenizidi Mimi uongo kaa watuwamenyanywaswa mahakamani jamani kwakweli jambo usilojua litabaki kuwa usiku wa Giza kwanza kwa utawala wa marehemu kama hukupatwa huwezi jua machungu
Hawa watu wasamehewe tuu ujue mtangulizi wao marehemu alikua anapendaga mambo kama haya ya uongo na kusifia kitu kisicho sahihi ndo mama wamefichaweee wakasahau msemo usemao mficha maradhi kifo humuumbua japo wangesema pengine angeombewa mauti ingeondoka sasa hatuna LA kufanya
Ujue tulizoea show za makamela kila sehemu akienda hata akiwa nyumbani kwao anaapishia na kuteua makamela yanaonyesha akienda kusali kamela akipita njiani kamela live sasa hii ndo inatupa maswali mbona kimyaaaa huko wapi?
Laiti kama tungekua tunapanga mstari kuonyesha wanaomkubali huyu baba yako nakwambia hata familia ingemkana hakunansecta iliyoachwa salama ni vitisho tu hata askari analia njaa wakati huko mstari wa mbele kupiga wapinzani
Mi nasema kila jambo huwa na mwanzo pia lazima mwisho uwepo pia kama mwanadamu anazaliwa na mwisho anakufa hakuna atakaye ishi milele hivyo hata lifichwe lisifichwe bado tutajua ukweli ni UPI muda tuu ndio unachelewa
Kwanza ukitaka kua na amani nchi hii achana na kufuatilia habari za nchi hii mana ukifuatilia unapanda hasira mno ishi kama mkimbizi potezea taarifa ya habari,potezea haya mambo ya kucheki bunge Fanya yako mtakutana kwenye Kodi kwasababu ni mkimbizi unalipa kiroho safi
Achana na viini macho hivyo kama wale maprofesa waliokua wanakuja shuleni wameweka panga kichwani limekata nusu kichwa anaonekana anatiririka damu achaweee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.