Recent content by Sumasuma

  1. Sumasuma

    Car4Sale Gari unauzwa Toyota Raumu 8M

    Gari unauzwa , 8M but still negotiatable 0686124826
  2. Sumasuma

    Yanga VS Simba 13.08.2022

    Jibu limepatikana leo
  3. Sumasuma

    Plot4Sale Eneo Heka mbili - linauzwa Bagamoyo

    Nimeshaiweka kaka
  4. Sumasuma

    Plot4Sale Eneo Heka mbili - linauzwa Bagamoyo

    Nimeshaiweka kaka
  5. Sumasuma

    Plot4Sale Eneo Heka mbili - linauzwa Bagamoyo

    Tayari nimesharekebisha mkuu,
  6. Sumasuma

    Plot4Sale Eneo Heka mbili - linauzwa Bagamoyo

    Eneo linauzwa Heka mbili zote kwa Tzs. 16,000 ,000 Mahali: Eneo lipo km 4 kutoka Barabara kuu ya Bagamoyo, ukitokea bunju Ni upande wa kushoto kabla hujafika Bagamoyo mjini . Lipo karibu na shule ya msingi MATAYA . Eneo Lina Michungwa na minazi Unaweza Shuka Kitopeni au Kibaoni kabla ya...
  7. Sumasuma

    Tunajenga mtambo wa BIOGAS

    Karibu Kaka, njoo Whatsapp namba ipo hapo juu. 0686124826
  8. Sumasuma

    Tunajenga mtambo wa BIOGAS

    Mt Mtu ambaye Yuko serious ana huhitaji wa huu mtambo atanicheki , ndiyo maana ya kudisplay namba
  9. Sumasuma

    Tunajenga mtambo wa BIOGAS

    Ndiyo maana huwezi kusema kwa nadharia , lazima ufike site ujiridhishe na mazingira ndiyo uweze kumshauri mtu. Kwenye mtandao utakuwa unaongea kwa nadharia tu. Kitu ambacho practically kikawa tofauti.
  10. Sumasuma

    Tunajenga mtambo wa BIOGAS

    Hapana mdau , Hauharibu chochote ila kwa yule yupo serious anataka kujua zaidi atanicheki
  11. Sumasuma

    Tunajenga mtambo wa BIOGAS

    Hapa Mimi sitoe elimu Kaka, yule ambaye Yuko serious atanicheki, nawapa idea tu. Mambo mengine atanicheki ndiyo maana nimedisplay namba yangu
  12. Sumasuma

    Tunajenga mtambo wa BIOGAS

    Biogas Kama biogas , Ina gase 3 , ammonia, Hydrogen sulphide na carbon dioxide. Kinachofanyika, hizo gase zipo zinatokana na mbole yaani organic material ambayo ndiyo law materials ya Biogas. Unapoweka material kwenye mtambo wa BIOGAS unachanganya na maji, yaani HAYO materials Yana undergo...
  13. Sumasuma

    Tunajenga mtambo wa BIOGAS

    Kwa mtambo mdogo 4 mitacubu familia ya watu 5 mpaka 6 wanaweza kuhudumia mtambo , na mabaki ya chakula au takataka za jikoni
  14. Sumasuma

    Tunajenga mtambo wa BIOGAS

    Linaanzia 1.5 na kuendelea kulingana na matumizi yako
Back
Top Bottom