Recent content by Sultankundi

  1. S

    Je, kwanini bidhaa za Uturuki zina bei?

    Upo sahihi kabisa, haswa hizi abaya za dada zetu, ila mimi nipo uturuki mwaka wa 5 sasa bidhaa zao ni nzuri ukiachana na hizo ambazo ziko branded ila hazijatoka moja kwa moja kutoka uturuki
  2. S

    Je, kwanini bidhaa za Uturuki zina bei?

    Habari, Nchi ya uturuki imekuwa miongoni mwa nchi ambazo Watanzania wengi wamejivunia utajiri kutokana na kuagiza bidhaa mbalimbali kupeleka Tanzania. Katika kipindi cha miaka ya Karibuni miongoni mwa bidhaa zinazoongoza kuchukuliwa kutoka uturuki ni bidhaa za umeme vyenye thamani ya shilingi...
  3. S

    Uchumi wa Frame Tanzania

    shida sio mfumo wa elimu moja kwa moja mfano mzuri ni generation za kwanza kwanza za waarabu na wahindi walioenda ughaibuni nchi kama marekani walifungua maduka leo hii ni moja ya watu wanaoajiri sana, bongo shida kubwa ni hatufikirii kihivyo kufikiri sio lazima shule tunataka majibu mepesi kwa...
  4. S

    How to get rich quickly..

    ni kweli wa tanzania tuna safari ndefu ila wanao hoji kuwa huo uzi ni wa mambele wapo sahihi sasa hivi nje especially marekani kumeibuka wimbi la vijana wanaotaka pesa za haraka ili kustaafu mapema linaitwa FIRE watu wengi kutokana na hili wimbi wameona fursa ya kufundisha course uchwara either...
  5. S

    Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

    kaka unaweza nielezea kuhusu ya kirikuu kama unaifahamu
  6. S

    Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

    Kuna business model inaitwa direct to consumer unaifahamu
  7. S

    Kampuni ya ujenzi, namba ya kuanzisha, ushauri, na vifaa

    Utajisumbua tu tuna kampuni ya ujenzi na hatujasoma hata mmoja engineering japo ni vizuri kusomea engineering ila ukipata mfanyakazi engineer na kama una muda wa kukaa saiti kumonitor kinachofanyika
  8. S

    Ni kwanini Nchi zenye Waislam wengi Ukristo hupigwa vita usiwepo wakati Nchi iliyojaa Ukristo kuna uhuru wa kuabudu?

    kuna nchi kama ufaransa na sweden hata marekani kuna kitu kinaitwa Islamophobia mbona watu wanachoma Quran na wanalindwa vizuri tu. Jamii nyingi za west zilikua hazipokei wa Islam kutokana na propaganda tu. Ila asilimia kubwa ya watu wakawaida jirani tunaoishi nao mbona wapo freshi Sikatai...
  9. S

    Kwa nini Biashara za ki Familia kwa waTanzania zinafeli.

    😂ninacheka ila ni jambo la kuhuzunisha na sababu yako ina mashiko pia kwa sababu si tatizo la tanzania tu
Back
Top Bottom