Cha bure ni uhai uliopewa na mwenyezimungu basi., uckae ukategemea cha bure kutoka kwa binadam mwenzako hayo ni mawazo finyu na inaonyesha ni jinsi gan ulivo mvivu kufikiri., mwenyew kaulizwa na bi. Zuhura wa BBC akashindwa kuelezea alafu bado tu unataka bure...
Ni kweli mm binafsi ninauzuni maana nikifikilia gharama alizozitumia yule mzee ni hatari yaan kala hasara ambayo hajawah kupata toka kazaliwa inauma sana...!
Hatuitaj elimu ya bure tunahtaji elimu bora., unapotaka kufany kitu kipya lazma uangalie kam kuna mtu kawah kufany (reference).,ivi unajua shule na vyuo ni jinsi gan vnajiendesha..? Ukipata jbu tafakar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.