Recent content by Sukusi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wenye shida ya Professional Business Plan naandika

    Nasisitiza unless unatengeneza trap uwaibie watu hizo 20k zao. Kama unaielewa kazi yako unapaswa kujua mahitaji ya kazi ya mteja wako kwanza, then kutathimini majukumu yako katika kufanikisha hitaji/mahitaji hayo. Ukifanya hivyo ndio utajua bei halisi ya kazi yako, na siku zote hazifanani...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wenye shida ya Professional Business Plan naandika

    Kuandaa business plan kunahitaji mambo kadhaa ikiwepo kufanya feasibility study ya soko, ushindani pamoja na gharama halisi za mf mashine n.k ili uweze kukadilia gharama za mradi kikamilifu. Unless mleta mada unataka uwafanyie copy and paste of which hiyo haitakuwa BP bali ni uchafu fulani tu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nimekucheck pm tangu jana naona kimya, kama imechukuliwa tupe feedback
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali (TAMISEMI) wafanyieni walimu Interview kabla ya kuwapost vituoni...

    I Agree! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utumishi Wilaya ya Mwanga Mnadhalilisha ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro

    Huna hoja specific, then hujaeleweka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinapangishwa.

    Vyumba viwili, kinyerezi, non furnished 500,000 kwa mwezi, kodi ya mwaka. Utasubiri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Zijue Familia Mbili za Kiyahudi Duniani zinazo miliki madini yote ya Aridhini

    Aksante sana kwa good history
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ndogo

    Iko poa, ila sidhani kama engine yake ni cc ninazotaka.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    Mwaka gan hiyo gari?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ndogo

    Kama ina-meet specs hapo juu, njoo pm
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ndogo

    Aksante, nawasubiri
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ndogo

    Wakuu nahitaji gari ndogo, cc 1300 max, iwe ya mwaka 2003 au baada, pia iwe pistone 4 (vitz, passo, suzuki, n.k). Budget yangu ni 5m max! Karibuni
  13. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kato Katunzi afariki dunia kwa ajali mbaya ya gari

    R.I.P bro!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Relax kaka, hiyo ni Bawasili, mm ilinipata na imepotea yenyewe. Nilisoma articles kadhaa kuhusu hiyo nikagundua sio hatari kivile, nikarelax ikaisha yenyewe.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kutembelea Comoro

    Ni salama, watu wakarimu, wanaongea kingazidja. Mji mzuri kufikia ni Moroni Ukitaka zaidi, uliza kitu specific mm nimekwenda huko mara kadhaa.
Back
Top Bottom