Recent content by Suineg raj

  1. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAHLISO wanapaswa kusimama na kupigania haki za Wanafunzi kuhusu Mikopo

    kuna kitu bodi hakiko sawa maana first year nilipata tuition fee 400,500/= lakini juzi naingia kwenye SIPA yangu naona wameongeza ada yangu na kunipa asilimia mia na wala nilikua sijawahi saini hiko kiasi kabisa hawako makini na kazi yao
  2. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Kabisa naona wengi ada ni 100%
  3. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Mwaka wa pili mkuu nimeingia
  4. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Kwenye kozi yetu sisi almost wote tumepata ada 100%
  5. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Cjafaham hapo ila kwa sisi sms tumezipokea jana mida ya saa kumi alasri
  6. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Sisi leo ardhi tumepokea sms za boom tayari
  7. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Aaanh nahis kama hajaekewa itakua labda aliefanya supp au chuo chake kimechelewa kupeleka matokeo bodi
  8. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Kabisa hawatabiriki bodi maana wakisema system ilizingua doooh itakua jau
  9. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Ata me nimeingia kwny sipa nimepata 100%
  10. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Programming language to learn for Web Applications

    Kakaa aisee nakubali be my mentor aisee
  11. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Programming language to learn for Web Applications

    Hapo kweny php na html ebu fafanua kidogo mtaalam maana ni mmj wapo kati yao wanaochanganya mmb
  12. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Programming language to learn for Web Applications

    Kaka umejibu mpaka unakera sasa aise big up
  13. Suineg raj

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya chuo kikuu cha ardhi

    Shukrani kaka 🙏🏽🙏🏽
Back
Top Bottom