Recent content by suffering2013

  1. S

    PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Sasa hapo kuna ajabu gani ya mapokezi endapo mbunge zitto amekwenda jimboni kwake? Au mmesahu mrema alivyokuwa na wafuasi wengi kila alihama alihama nao? Sasa mrema kachoka kachakaa na siwaoni tena wafuasi wake. Mwisho wa siku zitto atakuwa mdogo kama priton 2
  2. S

    Kwa hili anachofanya Dr.Slaa Kigoma ameharibu -CHADEMA

    Kweli ndugu yangu nawe pia hauko sawa kabisa. Zitto ni nani hasa mpaka hatua za kinidhamu zisichuliwe yake? Katiba ya chama ndiyo yenye majibu sasa acha kuunga unga story. Zitto amekikuta chama na taratibu zake
  3. S

    Kwa hili anachofanya Dr.Slaa Kigoma ameharibu -CHADEMA

    Mtoa hoja ndugu yangu wewe ndio umechemka maana umejionyesha live kuwa wewe ni mfuasi wa zzk. Jitahidi kuwa na vyanzo mbalimbali vya habari achana na stori zenu za vijiweni. Halafu ameambiwa ukweli unasema umetukanwa, jipange ucdm wako ni wa ki;zzk
  4. S

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

    Ndugu yangu Chatanda usikipake matope chama. Mimi naamini ya kuwa mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. Kama kuna uovu ulikuwa unafanyika ni kwanini ulikuwa kimya siku zote hadi yaibuke ya akina zitto na Dkt Kitila? Wewe ni mnafiki na ndio maana NCCR - Mageuzi ilikushinda. Peleka umbea wako...
  5. S

    Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

    Mwigamba amekwisha kabisa huyo maana sasa anatapatapa tu. Anapaswa kutulia nakutafakari badala ya kujifanaya kubisha kuwa hatoki wakati chama kina taratibu zake.
  6. S

    Mitungi ya gesi ya kupikia aina ya oryx

    Mheshimiwa vipi mitungu bado unayo? Mi nahitaji
  7. S

    Matokeo 'hasi' ya kumtimua Zitto ni haya; Mbowe & Slaa mnaua chama

    Kiukweli kwa upande wangu naoaana cdm wako sahihi kabisa kwa mujibu wa katiba ya chama na ni maamuzi ya wanakamati na wala sio ya mbowe wala dk. slaa. Kwa hakika kujenga chama kuna kazi ya ziada inatakiwa kufanyika. Zitto na wenzie wakubali kuwa wamekosea walichotaka kufanya ni ujasusi na wala...
Back
Top Bottom