Recent content by sued's

  1. sued's

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Changamoto wanayopata wanafunzi kutoka kwa Makondakta hasa magari ya Buza , na G/Mboto

    Ni hatari sanaa ni mateso basi wangekuwa wanawapeleka hata shule za karibu na wanapo ishi sasa sio kwa mateso ya elimu hiyo sie tumesoma hapa dar mpaka vyuo vikuu ila sasa naona kama ukatili kwenye vituo vya daladala umezidi juu ya wanafunzi
  2. sued's

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Changamoto wanayopata wanafunzi kutoka kwa Makondakta hasa magari ya Buza , na G/Mboto

    Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto. Na...
  3. sued's

    JamiiForums Tanzania KERO TRA Temeke ni changamoto sana kwenye ufanyaji wao wa kazi

    Dahhh kwa mazingira yao sasa hawajionyeshi kwenye hilo na wanajifanya wako mbali na hata hiyo ya maji
  4. sued's

    JamiiForums Tanzania KERO TRA Temeke ni changamoto sana kwenye ufanyaji wao wa kazi

    Nimekuelewaa sanaa sanaa ndugu yangu nashukuru mno🙏🏻
  5. sued's

    JamiiForums Tanzania KERO TRA Temeke ni changamoto sana kwenye ufanyaji wao wa kazi

    Dahhhh 😂😂😂😂😂 excel wewe sasa ndo una mfahamu kabisaa kabisaa
  6. sued's

    JamiiForums Tanzania KERO TRA Temeke ni changamoto sana kwenye ufanyaji wao wa kazi

    Dahhhh kabisa kaka naona hili ndo liwe tamati yangu sasa 🤝
  7. sued's

    JamiiForums Tanzania KERO TRA Temeke ni changamoto sana kwenye ufanyaji wao wa kazi

    Wakuu nimekuja kwenu, ofisi za TRA Temeke zina fikirisha sanaa katika uwajibikaji wao Nili-register TRA TIN Number mwaka 2020 branch ya Mbagala sasa nataka nihamishe ile TIN number location isome Ilala hapo ndo kimbembe aisee Hawa jamaa nimefanya process zotee online barua nimeandika na...
  8. sued's

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia Pekee ya Kuelekea mafanikio ni kufanya uwekezaji mkubwa katika ubongo wako vijana soma hii!

    Daahhhh aisee sina neno la zaid ubarikiwe
  9. sued's

    JamiiForums Tanzania Hotel za njiani wanazotumia wasafiri ni shida. Waziri husika fuatilia suala hili

    Dahhh hii kitu aisee ipo na c poa kbs yaan
  10. sued's

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anakuvutia akivaa vipi?

    Hahahaha htr xana
Back
Top Bottom