Recent content by sudybrainy

  1. sudybrainy

    Msaada kwa ajuae bei ya kupata leseni ya kukusanya chuma chakavu mtaani

    salaam wakuu, naomba wakuu mwenye uzoefu na biashara ya vyuma chakavu anieleweshe jinsi ya kupata vibali kimoja baada ya kingine na leseni pamoja na bei zake kwa mfanyabiashara mdogo tu mwenye fremu na mtaji wa laki5 ambaye hasafirishi nje ya mkoa
  2. sudybrainy

    Msaada kwa ajuae bei ya kupata leseni ya kukusanya chuma chakavu mtaani

    Salaam wakuu, Naomba wakuu mwenye uzoefu na biashara ya vyuma chakavu anieleweshe jinsi ya kupata vibali kimoja baada ya kingine na leseni pamoja na bei zake. Kwa mfanyabiashara mdogo tu mwenye fremu na mtaji wa laki5 ambaye hasafirishi nje ya mkoa
  3. sudybrainy

    Naomba udhamini wa masomo ya udaktari

    nawashukuru sana ndugu kwa michango ya mawazo mazuri mliyonipa
  4. sudybrainy

    Naomba udhamini wa masomo ya udaktari

    Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja nifanye mitihani yangu ya kuhitimu diploma in clinical medicine level 6 itakayo fanyika February...
  5. sudybrainy

    23yrs boy natafuta ajira kwa mwezi m1 mwanza

    "E="Old - Hand, post: 32775845, member: 427535"] Kwa mwezi M1 ni sawa na umesema kwa mwezi ni milioni moja... Uwe unazingatia huandishi usiokuwa na contradiction yeyote... Katika mambo ya msingi kama haya "kweli mkuu shukrani
  6. sudybrainy

    23yrs boy natafuta ajira kwa mwezi m1 mwanza

    mm ni kjana Wa miaka23 nimemaliza kitado cha sita na sasa nasoma utabibu chuo kimoja hapa mwanza, Nina ujuzi na computer applications japo sina uzoefu Wa stationary, ninahitaji kazi au kibarua chochote iwe ni ya kimahesabu Niko vizur,au stationary,ya kutumia nguvu iwe kubeba mizigo, shambani...
  7. sudybrainy

    Ushauri:kuhusu ECA combination

    Ivi wakuu unaweza kujisajili kama private candidate kwa combination ya ECA hata kama hukusoma Commerce na bookkeeping o'level au nijisajili tu EGM? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom