Recent content by sudi mdiddy

  1. S

    Kutoka Kanisa Ufufuo na Uzima: Gwajima awazungumzia Diamond, Halima Mdee kumtusi Spika na Utekaji

    Naona siasa za upinzani zinakufa kwa kuongozwa na kanisa LA gwajima sioni anachokitetea upinzani na nguvu ya gwajima kama sauti yao ya pili hawana jipya
  2. S

    Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Hatua zichukuriwe kwa kila menye kukosea tukitazama watu usoni nishida alijiita mungu wa mkowa huu sasa hukhum ya uungu feki pia itamtafuna nadhani kulewa madalaka au ushauri mzuri Hana na anahitaji muda wa kupunzishwa kwasababu atakufa kwa kiholo
  3. S

    Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

    Ajalibu kucheza na mwili tu mbona inawezekana
  4. S

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    huyo haneni ya mungu ndio maana anapendezwa na sifa siku zote kutojiamini na anaowaongoza hawana mawazo na mafunuo ya akili kwa upana zaidi wangejiepuka na huyu mtu alishawahi kudanganya amemfufua amini chifupa na walishangilia Sent from my SM-A500FU using JamiiForums mobile app
  5. S

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    kiukweli huyo gwajima amehifadhi chuki na itakuwa inamuumiza sana maana ata ugum wa madawa kama kiongozi wa waliokufa na kufukuliwa akili kiukweli ilitakiwa kusapoti na si kulipa visasi vya udhalilishaji naona aisaidii kitu maana kwa utendaji wa mkuu wa mkoa ni kuteuliwa na aupeleki vyet vya...
Back
Top Bottom