Recent content by successor

  1. successor

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema

    Yes! That is democracy. Washindane kwa hoja bila kujengeana chuki. Lengo ni kujenga chama.
  2. successor

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wa juu wa mambo ya kimataifa ( worldly view) sifa nyingine ambayo Lissu anamzidi Mbowe

    Hakika umenena vema. Hata mzee Mbowe mwenyewe analitambua hili.
  3. successor

    JamiiForums Tanzania Mbowe ana udhibiti wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ijayo ya CHADEMA, Lissu haelewani nao, atapitisha vipi hoja zake?

    Orodhesha hayo matusi aliyotukanwa huyo mpiga dili.
  4. successor

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa sera zinambeba TUNDU LISSU kuchaguliwa uenyekiti chadema

    Hivi mbona sioni sera yoyote kwa upande wa Mbowe? Ninachokisikia ni "Kakitoa chama mbali", mara ana busara na blah blah nyingine. Leteni sera tupime nani anafaa kuongoza chama.
  5. successor

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleke: Tundu Lissu ni Simba Mkali

    Uchaguzi ukiwa huru, Mbowe hashindi. Walio wengi ndani na nje ya CHADEMA wanamtaka Lissu. Nadhani hata yeye Mbowe anaingia mitandaoni na anajionea hali halisi.
  6. successor

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Lissu juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA

    Unawaza kushindwa tu, stupid! Watu kama nyie ni tatizo. Unakua kama mganga wa kienyeji. Subiri uchaguzi upite. Lissu sio mjinga.
  7. successor

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Roma ni kiazi
  8. successor

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kimyaaa
  9. successor

    JamiiForums Tanzania Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

    Wote na tuseme Amina.
  10. successor

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa milioni 15 zachangwa kumuokoa Sabaya, asanteni Watanzania

    Ficha upumbavu wako.
  11. successor

    JamiiForums Tanzania Royal Tour ndo ishasahaulika?

    Hahahaaa daaah
  12. successor

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Anafukia mashimo ya nduli Magufuli.
  13. successor

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kujadili siasa pekee ni kupoteza muda

    Hao ni CCM mkuu
  14. successor

    JamiiForums Tanzania Je, kweli Lissu ana wivu na Magufuli?

    Shetani lazima atajwe na akemewe
Back
Top Bottom